Tuhuma za unyanyasaji wa kijinsia zamfikisha mahakamani Kadinali

"Mmoja wa maofisa wakubwa nchini Vatican Kadinali George Pell amefikishwa mahakamani mjini Melbourne Australia kusikiliza kesi ya unyanyasaji wa kijinsia inayomkabili. Alipokelewa na vyombo vingi vya habari kutokana na kesi hiyo kuvutia hisia za watu wengi." —(BBC 26 Julai 2017)

12 Sep 2017

This website was built using N.nu - try it yourself for free.    (Click here to renew the premium)