UN yalaani sera za kanisa katoliki kuhusu unyanyasaji wa kijinsia

"Umoja wa mataifa umetuhumu makao makuu ya kanisa katoliki la Vatican kwa kuidhinisha na kutumia sera zilizowezesha mapadre kubaka na kuwalawiti maelfu ya watoto. . . .Umoja wa mataifa unasema uongozi wa kanisa katoliki unapaswa kufanya juhudi zaidi ili kuzuia makosa yaliyowahi kutokea. . . .Ripoti hiyo pia imekosoa msimamo wa Kanisa katoliki mapenzi ya jinsia moja,upangaji uzazi na uavyaji mimba." —(BBC 5 Februari 2014)

19 Oct 2017

This website was built using N.nu - try it yourself for free.    (Click here to renew the premium)