UN yaingilia dhuruma za kingono Vaticani

"Umoja wa mataifa umeitaka vatican kutoa maelezo kuhusu kesi elfu moja ambapo viongozi wa dini katika kanisa hilo wamewanyanyasa watoto. Ombi hilo kutoka kwa kamati ya umoja huo inayosimamia haki za watoto linajiri miezi sita kabla ya wawakilishi wa kanisa katoliki kufikishwa mbele ya umoja wa mataifa kujibu mashtaka ya kashfa ya unyanyasaji wa watoto ambayo yamekumba kanisa hilo katika kipindi cha mwongo mmoja uliopita." —(BBC 14 Julai 2013)

Ndani ya miaka kumi ambayo inaishia 2013, BBC inaripoti kwamba kuna kesi elfu moja 1,000 za mapadri na viongozi wa Katholiki ambao wamebaka na kulawiti watoto. Hata hivyo pamoja na Papa Francis kuahidi kwamba atajitahidi kuwashughurikia viongozi wa kanisa hilo ambao ni wabakaji, lakini bado umoja wa mataifa umekuwa ukileta mashitaka ya mapadri ambao wanatuhumiwa kubaka watoto na kulawiti watoto wa kiume.

Je uliwahi kujiuliza kwanini sheria za kanisa zinazuia mapadri kuoa? Inaonekana wazi kwamba uongozi wa RCC wote, isipokuwa waaminifu wachache tu ambao wametekwa humo bila kujua, wanaunga ushoga kama taarifa zinavyosema wazi kwamba Papa Francins pia anaunga mkono ushoga. Mungu aliye hai na aonaye mbali, alitabiri kupitia nabii mtakatifu Danieli kwamba ukuhani wa kanisa Katholiki hawatakuwa na tamaa ya wanawake, lakini hii inawaongoza kuwa na tamaa ya wanaume badala yake, na kusaidia mambo ya ushoga.

Danieli 11:37 "Wala hataijali miungu ya baba zake; wala yeye aliyetamaniwa na wanawake; wala hatamjali mungu awaye yote; maana atajitukuza mwenyewe juu ya wote."


JE ulijua kwamba Mungu anasema wazi wazi kwamba kanisa katoliki la Roma ni kanisa la mpinga Kristo? Angalia Utabiri wa Mungu.

*.Mnyama wa Kitabu cha Ufunuo ni RCC *.Mnyama wa nne wa Danieli 7 ni Ufalme wa Roma *.Mfalme wa nane wa Ufunuo 17 ni RCC *.Pembe ndogo ya Danieli 7 ni RCC *.RCC iliua mashahidi wawili wa Mungu *.Mwanamke aliyekunywa na kulewa damu ya watakatifu katika Ufunun 17 ni RCC.

Je bado unasubiri nini huko RCC ikiwa kuna ushahidi mwingi kama huo?


10 Sep 2017

This website was built using N.nu - try it yourself for free.    (Click here to renew the premium)